sw_gen_text_ulb/48/05.txt

1 line
494 B
Plaintext

\v 5 \v 6 \v 7 5 Na sasa wanao wawili, waliozaliwa kwako katika nchi ya Misri kabla sijaja Misri, ni wangu. Efrahimu na Manase watakuwa wangu, kama walivyo Rubeni na Simioni. 6 Watoto utakaowapata baada ya hapo ni wako; watahesabiwa katika majina ya ndugu zao katika urithi wao. 7 Lakini kwangu mimi, nilipokuja kutoka Padan, kwa huzuni yangu Raheli alikufa njiani katika nchi ya Kanaani, wakati kungalipo kitambo kwenda Efrathi. Nilimzika pale katika njia iendayo Efrathi" (ndio, Bethlehemu).