1 line
379 B
Plaintext
1 line
379 B
Plaintext
\v 16 \v 17 \v 18 16 Habari ya jambo hili ikasemwa katika nyumba ya Farao: "Ndugu zake Yusufu wamekuja." Ikampendeza sana Farao na watumishi wake. 17 Farao akamwambia Yusufu, "Wambie ndugu zako, 'Fanyeni hivi: Wapakieni wanyama wenu na mwende katika nchi ya Kanaani. 18 Mchukueni baba yenu na nyumba zenu mnijie. Nami nitawapa mema ya nchi ya Misri, nanyi mtakula unono wa nchi.' |