2 lines
376 B
Plaintext
2 lines
376 B
Plaintext
\v 37 \v 38 37 Rubeni akamwambia baba yake, kusema, "Unaweza kuwaua wanangu wawili nisipomrudisha Benjamini kwako.
|
|
Mweke mikononi mwangu, nami nitamrudisha tena kwako." 38 Yakobo akasema, "Mwanangu atashuka pamoja nanyi. Kwani ndugu yake amekufa na yeye peke yake amebaki. Ikiwa madhara yatampata katika njia mnayoiendea, ndipo mtakapozishusha mvi zangu kaburini kwa huzuni." |