1 line
405 B
Plaintext
1 line
405 B
Plaintext
\v 29 \v 30 \v 31 \v 32 29 Wakaenda kwa Yakobo, baba yao katika nchi ya Kanaani na kumwambia yote yaliyowapata. 30 Wakasema, "Yule mtu, bwana wa nchi, aliongea nasi kwa ukali na kutudhania kuwa wapelelezi katika nchi. 31 Tukamwambia, 'Tu watu wa kweli sisi. Sisi siyo wapelelezi. 32 Tupo ndugu kumi na wawili, wana wa baba yetu. Mmoja hayupo hai tena, na mdogo yupo na baba yetu katika nchi ya Kanaani." |