1 line
385 B
Plaintext
1 line
385 B
Plaintext
\v 23 \v 24 \v 25 23 Lakini hawakujua kwamba Yusufu anawaelewa, kwani kulikuwa na mkalimani kati yao. 24 Akatoka kwao na kulia. Akarudi kwao na kuongea nao. Akamchukua Simoni miongoni mwao na kumfunga mbele ya macho yao. 25 Kisha Yusufu akaagiza watumishi kujaza mifuko yao kwa nafaka, na kurudisha pesa ya kila mmoja katika gunia lake, nakuwapa mahitaji kwa safari. Wakatendewa hivyo. |