\v 7 \v 8 7 Yusufu akawaona ndugu zake na kuwatambua, lakini alijibadili kwao na kuongea nao kwa ukali. Akawambia, "Mmetoka wapi?" Wakasema, "Kutoka nchi ya Kanaani ili kununua chakula." 8 Yusufu akawatambua ndugu zake, lakini wao hawakumtambua.