1 line
440 B
Plaintext
1 line
440 B
Plaintext
\v 9 \v 10 \v 11 9 Esau akasema, "Ninayo ya kutosha, ndugu yangu. Tunza uliyonayo kwa ajili yako mwenyewe." 10 Yakobo akasema, "Hapana, tafadhali, ikiwa nimeona kibali mbele zako, basi upokee zawadi yangu kutoka mkononi mwangu, na ni kama kuona uso wa Mungu, na umenipokea. 11 Tafadhari pokea zawadi yangu uliyoletewa, kwa sababu Mungu amenitendea kwa neema, na kwa sababu ninavyo vya kutosha." Hivyo Yakobo akamsihi, na Esau akamkubali. |