\v 32 \v 33 32 Siku hiyohiyo watumishi wake wakaja na kumwambia juu ya kisima walichokuwa wamekichimba. Wakasema, "Tumeona maji." 33 Akakiita kile kisima Shiba, hivyo jina la mji ule ni Beersheba hata leo.