|
\v 21 \v 22 21 Wakachimba kisima kingine, wakakigombania hicho nacho, hivyo akakiita "Sitna." 22 Akatoka hapo na akachimba kisima kingine, lakini hicho hawakukigombania. Hivyo akakiita Rehobothi, na akasema, "Sasa Yahwe ametufanyia nafasi, na tutafanikiwa katika nchi." |