1 line
291 B
Plaintext
1 line
291 B
Plaintext
\v 4 \v 5 4 Basi Abimeleki alikuwa bado hajamkaribia hivyo akasema, "Bwana, Je utaua hata taifa lenye haki? 5 Je si yeye mwenyewe aliye niambia, 'Sara ni dada yangu?' Hata Sara mwenyewe alisema, 'ni kaka yangu.' Nimefanya hili katika uadilifu wa moyo wangu na katika mikono isiyo na hatia." |