\v 15 Kanaani akamzaa Sidono, mwanawe wa kwanza, na Hethi, \v 16 pia na Myebusi, na Mwamori, Mgirgashi, \v 17 Mhivi, Mwarki, Msini, \v 18 Mwarvadi, Msemari, na Mhamathi. Baadaye koo za wakanaani zikasambaa.