1 line
334 B
Plaintext
1 line
334 B
Plaintext
\v 22 Kisha Hamu, baba yake Kanaani, akaona uchi wa baba yake na akawaambia ndugu zake wawili waliokuwa nje. \v 23 Kwa hiyo Shemu na Yafethi wakachukua kanzu wakaitanda juu ya mabega yao, na wakatembea kinyumenyume na wakaufunika uchi wa baba yao. Nyuso zao zikiwa zimegeuka nyuma upande mwingine, kwa hiyo hawakuona uchi wa baba yao. |