1 line
306 B
Plaintext
1 line
306 B
Plaintext
\v 16 Upinde wa mvua utakuwa katika mawingu na nitauona, ili kukumbuka agano la milele kati ya Mungu na kila kiumbe hai cha wote wenye mwili ambacho kiko juu ya nchi." \v 17 Kisha Mungu akamwambia Nuhu, "Hii ni ishara ya agano ambalo nimelithibitisha kati yangu na wenye mwili wote ambao wako juu ya nchi." |