sw_gen_text_ulb/24/45.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 45 \v 46 45 Ikawa hata kabla sijamaliza kuzungumza moyoni mwangu, Tazama, Rebeka akaja na mtungi wake juu ya bega lake akashuka chini kisimani akachota maji. Hivyo nikamwambia, 'Tafadhali nipatie maji ninywe.' 46 Ndipo kwa haraka alipoushusha mtungi wake begani mwake na akasema, 'Kunywa, na pia nitawapatia maji ngamia wako.' Kwa hiyo nikanywa, na akawanywesha ngamia pia.