2 lines
544 B
Plaintext
2 lines
544 B
Plaintext
\v 12 \v 13 \v 14 12 Kisha akasema, "Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, anijalie kufanikiwa leo na aoneshe agano la uaminifu kwa bwana wangu Abraham. 13 Tazama, nimesimama hapa karibu na chemchemi ya maji na mabinti za watu wa mji wanakuja kuteka maji. 14 Na itokee hivi kwamba. Nikimwambia msichana, tafadhali tua mtungi wako ili niweze kunywa maji,' na akiniambia, 'Kunywa, na kwamba nitawanywesha ngamia wako pia,' huyo ndiye ambaye umemchagulia mtumwa wako Isaka.
|
|
Kwa njia hii nitajua kuwa umeonyesha agano la uaminifu kwa bwana wangu." |