1 line
442 B
Plaintext
1 line
442 B
Plaintext
\v 31 \v 32 \v 33 31 Yule wa kwanza akamwambia yule mdogo, "Baba yetu ni mzee, na hakuna mwanaume mahali popote wa kulala na sisi kulingana na desturi ya dunia yote. 32 Njoo na tumnyweshe baba yetu mvinyo na tulale naye ili kwamba tuendeleze uzao wa baba yetu." 33 Kwa hiyo wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule. Kisha yule wa kwanza akaingia na akalala na baba yake; Baba yake hakujua ni wakati gani alikuja kulala, wala wakati alipo amka. |