1 line
385 B
Plaintext
1 line
385 B
Plaintext
\v 11 Shekemu akamwambia baba yake na ndugu zake, "Na nione kibali machoni penu, na chochote mtakachoniambia nitatoa. \v 12 Niambieni kiasi kikubwa chochote cha mahari na zawadi kama mtakavyo, nami nitatoa chochote msemacho, lakini mnipe msichana kuwa mke wangu." \v 13 Wana wa Yakobo wakamjibu Shekemu na Hamori baba yake kwa hila, kwa sababu Shekemu alikuwa amemnajisi Dina dada yao. |