sw_gen_text_ulb/21/31.txt

1 line
211 B
Plaintext

\v 31 Kwa hiyo akaita mahali pale Beersheba, kwa sababu mahali pale wote wawili waliapa kiapo. \v 32 Walifanya agano hapo Beerisheba, kisha Abimeleki na Fikoli, amiri wa jeshi, wakarudi katika nchi ya Wafilisti.