1 line
384 B
Plaintext
1 line
384 B
Plaintext
\v 22 Ikawa kwamba katika wakati ule Abimeleki na Fikoli kamanda wa jeshi lake akamwambia Abraham, akisema, "Mungu yuko pamoja na wewe katika yote uyatendayo. \v 23 Sasa niapie kwa Mungu kwamba hutanifanyia baya, wala mwanangu, wala uzao wangu. Onyesha kwangu na kwa nchi ambayo umekuwa ukikaa agano lile lile la uaminifu ambalo nimekuonyesha wewe." \v 24 Abraham akasema, "Nina apa." |