sw_gen_text_ulb/21/19.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 19 Kisha Mungu akayafunua macho ya Hajiri, na tazama, akaona kisima cha maji. Akaenda akajaza kiriba maji, na akampatia kijana akanywa. \v 20 Mungu akawa pamoja na kijana, na akakua. Akaishi jangwani akawa mwindaji. \v 21 Akaishi katika jangwa la Parani, na mama yake akampatia mke kutoka Misri.