1 line
286 B
Plaintext
1 line
286 B
Plaintext
\v 4 Basi Abimeleki alikuwa bado hajamkaribia hivyo akasema, "Bwana, Je utaua hata taifa lenye haki? \v 5 Je si yeye mwenyewe aliye niambia, 'Sara ni dada yangu?' Hata Sara mwenyewe alisema, 'Ni kaka yangu.' Nimefanya hili katika uadilifu wa moyo wangu na katika mikono isiyo na hatia." |