sw_gen_text_ulb/20/01.txt

1 line
404 B
Plaintext

\c 20 \v 1 Abraham akasafiri kutoka pale hadi nchi ya Negebu, na akakaa kati ya Kadeshi na Shuri. Akawa mgeni akiishi Gerari. \v 2 Abraham akasema kuhusu mkewe Sara, "Ni dada yangu." Kwa hiyo Abimeleki mfalme wa Gerari akatuma watu wake kumchukua Sara. \v 3 Lakini Mungu akamtokea Abimeleki usiku katika ndoto, akamwambia, "Tazama, wewe ni mfu kutokana na mwanamke uliye mchukua, kwa kuwa ni mke wa mtu."