sw_gen_text_ulb/17/07.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 7 Nitaimarisha agano langu kati yangu mimi na wewe na uzao wako baada yako, katika vizazi vyao vyote kwa agano la milele. Nitakuwa Mungu kwako na kwa wazao wako baada yako. \v 8 Nitakupa wewe, na wazao wako baada yako, nchi ambayo ulikuwa unaishi, nchi yote ya Kanaani, kuwa miliki ya milele, na nitakuwa Mungu wao."