\v 6 Akamwamini Yahwe, na akamhesabia jambo hili kuwa mwenye haki. \v 7 Akamwambia, "Mimi ni Yahwe, niliye kutoa katika Uru ya Wakaldayo, na kukupatia nchi hii kuirithi." \v 8 Akasema, "Bwana Yahwe, nitajuaje kuwa nitairithi?"