\v 30 Mpaka wao ulikuwa unaanzia Mesha, hadi Sefari, mlima wa mashariki. \v 31 Hawa walikuwa wana wa Shemu, kulingana na koo zao na lugha zao, katika ardhi zao kulingana na mataifa yao.