sw_gen_text_ulb/10/11.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 11 Kutoka katika nchi ile, alienda Ashuru na akajenga Ninawi, Rehoboth- iri na Kala, \v 12 na Raseni ambao ulikuwa kati ya Ninawi na Kala. Ulikuwa mji mkubwa. \v 13 Misraimu akazaa Waludi, Waanami, Walehabi, na Wanaftuhi, \v 14 Wapathrusi na Wakasluhi ( ambao kwao Wafilisti walitokea), na Wakaftori.