\v 6 Wana wa Hamu walikuwa Kushi, Misraimu, Putu, na Kanaani. \v 7 Wana wa Kushi walikuwa Seba, Havila, Sabta, Raama, na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa Sheba na Dedani.