sw_gen_text_ulb/10/02.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 2 Wana wa Yafethi walikuwa Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Masheki, na Tirasi. \v 3 Na wana wa Gomeri walikuwa Ashikenazi, Rifathi na Togama. \v 4 Wana wa Yavani walikuwa Elisha, Tarshishi, Kitimu, na Dodanimu. \v 5 Kutoka kwa hawa watu wa pwani waligawanyika na kwenda kwenye ardhi zao, kila mtu na lugha yake, kufuatana na koo zao, kwa mataifa yao.