1 line
280 B
Plaintext
1 line
280 B
Plaintext
\c 48 \v 1 \v 2 1 Ikawa baada ya mambo haya, mmojawapo akamwambia Yusufu, "Tazama, baba yako ni mgonjwa." Hivyo akaondoka pamoja na wanawe wawili, Manase na Efrahimu. 2 Yakobo alipoambiwa, "Tazama, mwanao Yusufu amekuja kukuona," Israeli akakusanya nguvu na kukaa juu ya kitanda. |