sw_gen_text_ulb/41/53.txt

1 line
235 B
Plaintext

\v 53 \v 54 53 Miaka saba ya shibe iliyokuwa katika nchi ya Misri ikafika mwisho. 54 Miaka saba ya njaa ikaanza, kama alivyokuwa amesema Yusufu. Kulikuwa na njaa katika nchi zote, lakini katika nchi yote ya Misri kulikuwa na chakula.