1 line
359 B
Plaintext
1 line
359 B
Plaintext
\v 39 \v 40 \v 41 39 Hivyo Farao akamwambia Yusufu, "Kwa vile Mungu amekuonyesha yote haya, hakuna mtu mwenye ufahamu na busara kama wewe. 40 Utakuwa juu ya nyumba yangu, watu wangu watatawaliwa kwa kadiri ya neno lako. Katika kiti cha enzi peke yake mimi nitakuwa mkuu kuliko wewe." 41 Farao akamwambia Yusufu, "Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri." |