1 line
357 B
Plaintext
1 line
357 B
Plaintext
\v 19 \v 20 \v 21 19 Tazama, ng'ombe wengine saba wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya, na wembaba. Sijawahi kuona wabaya kama hao katika nchi yote ya Misri. 20 Wale ng'ombe wembamba na wabaya wakawala wale ng'ombe saba na wanene. 21 Walipokuwa wamemaliza kuwala wote, haikujulikana kama walikuwa wamewala, kwani walibaki wabaya kama mwanzo. Kisha nikaamka. |