1 line
312 B
Plaintext
1 line
312 B
Plaintext
\v 9 \v 10 \v 11 9 Kisha mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao, "Leo ninayafikiri makosa yangu. 10 Farao aliwakasirikia watumishi wake, na kutuweka kifungoni katika nyumba ya kapteni wa walinzi, mkuu wa waokaji na mimi. 11 Tuliota ndoto usiku huo mmoja, yeye na mimi. Kila mmoja aliota kwa kadiri ya tafsiri yake. |