sw_gen_text_ulb/31/38.txt

1 line
367 B
Plaintext

\v 38 \v 39 \v 40 38 Kwa miaka ishirini nimekuwa nawe. Kondoo wako na mbuzi wako hawakutoa mimba, wala sikula dume yeyote wa kondoo katika wanyama wako. 39 Kilichoraruliwa na hayawani sikukuletea. Badala yake, nilichukua upotevu huo, kwamba wameibwa mchana au usiku. 40 Nilikuwepo wakati wote; mchana joto lilinipata, na baridi wakati wa usiku; na sikupata usingizi.