3 lines
297 B
Plaintext
3 lines
297 B
Plaintext
\v 36 \v 37 36 Yakobo akakasirika na kuhojiana na Labani. Akamwambia, "Kosa langu ni nini?
|
|
Dhambi yangu ni ipi, hata ukanifuatia kwa ukali? 37 Kwa maana umechunguza mali zangu
|
|
zote. Umeona nini kati ya kitu chochote cha nyumbani mwako? Viweke hapa mbele ya ndugu zetu, ili waamue kati yetu wawili. |