sw_gen_text_ulb/31/14.txt

3 lines
333 B
Plaintext

\v 14 \v 15 \v 16 14 Raheli na Lea wakajibu na kumwambia, "Je kuna sehemu yoyote au urithi wetu katika nyumba ya baba yetu? 15 Je hatutendei kama wageni?
Kwa maana ametuuza na kwa ujumla ametapanya pesa zetu. 16 Mali zote ambazo sasa Mungu
amemnyang'anya baba yetu ni zetu na watoto wetu. Sasa basi, lolote Mungu alilokuambia, fanya.