1 line
390 B
Plaintext
1 line
390 B
Plaintext
\v 7 \v 8 \v 9 7 Baba yenu amenidanganya na amebadilisha ujira wangu mara kumi, lakini Mungu hakumruhusu kunidhuru. 8 Ikiwa alisema, 'Wanyama wenye mabaka watakuwa ujira wako,' ndipo kondoo wote walipozaa watoto wenye mabaka. Na aliposema, wenye milia watakuwa ujira wako,' ndipo kundi lote lilipozaa watoto wenye milia. 9 Kwa njia hii Mungu amemnyang'anya mifugo baba yenu na kunipa mimi. |