1 line
460 B
Plaintext
1 line
460 B
Plaintext
\v 18 \v 19 \v 20 18 Wale ndugu wakaogopa kwa vile walivyoletwa katika nyumba ya Yusufu. Wakasema, "Ni kwa sababu ya pesa iliyorudishwa katika magunia yetu mara ya kwanza tulipoletwa ndani, kwamba atafute nafasi kinyume chetu. Kwamba aweze kutukamata na kutuchukua kama watumwa, na kuchukua punda wetu." Wakamsogelea mtunzaji wa nyumba ya Yusufu, 19 nao wakaongea naye mlangoni mwa nyumba, 20 wakisema, "Bwana wangu, tulikuja mara ya kwanza kununua chakula. |