1 line
420 B
Plaintext
1 line
420 B
Plaintext
\v 13 \v 14 \v 15 13 Mchukueni ndugu yenu pia. Inukeni na mwende tena kwa mtu yule. 14 Mungu Mwenyezi na awape kuona rehema mbele ya huyo mtu, hivyo kwamba awafungulie ndugu yenu mwingine na Benjamini. Kama nikipotelewa na watoto, nimepotelewa." 15 Watu wale wakachukua zawadi hii, na katika mikono yao wakachukua mara mbili ya kiasi cha pesa, pamoja na Benjamini. Wakaamka na kushuka Misri na kusimama mbele ya Yusufu. |