sw_gen_text_ulb/37/09.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 9 \v 10 \v 11 9 Akaota ndoto nyingine na kuwasimulia ndugu zake. Alisema, "Tazama, nimeota ndoto nyingine: Jua na mwezi na nyota kumi na moja ziliniinamia." 10 Akamwambia baba yake vile vile alivyowambia ndugu zake, na baba yake akamkemea. Akamwambia, Je umeota ndoto ya namna gani hii? Je mama yako na mimi na ndugu zako kweli tutakuja kukuinamia mpaka chini?" 11 Ndugu zake wakamwonea wivu, lakini baba yake akaliweka jambo hilo moyoni.