sw_gen_text_ulb/03/04.txt

1 line
409 B
Plaintext

\v 4 Nyoka akamwambia mwanamke, "hakika hamtakufa. \v 5 Kwa sababu Mungu anajua kwamba siku mkila macho yenu yatafumbuliwa, na mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya." \v 6 Na mwanamke alipoona kuwa mti ni mzuri kwa chakula, na kuwa unapendeza macho, na kwamba mti ulitamanika kwa kumfanya mtu awe mwerevu, alichukua sehemu ya tunda na akala. Na sehemu yake pia akampatia mumewe aliyekuwa naye, naye akala.