sw_gen_text_ulb/44/11.txt

1 line
328 B
Plaintext

\v 11 \v 12 \v 13 11 Kisha kila mtu akaharakisha na kulishusha gunia lake chini. na kila mtu akalifungua gunia lake. 12 Msimamizi akatafuta. akaanza na mkubwa wa wote na kumaliza kwa mdogo wa wote, na kikombe kikaonekana katika gunia la Benjamini. 13 Wakararua mavazi yao. Kila mtu akapakia juu ya punda wake nao wakarudi mjini.