1 line
298 B
Plaintext
1 line
298 B
Plaintext
\v 8 \v 9 \v 10 8 Hamori akaongea nao, akisema, "Shekemu mwanangu anampenda binti yenu. Tafadhali mpeni kuwa mke wake. 9 Mwoane nasi, tupeni binti zenu, na mjichukulie binti zetu kwa ajili yenu wenyewe. 10 Mtaishi nasi, na nchi itakuwa wazi kwa ajili yenu kufanya biashara humo, na kupata mali." |