sw_gen_text_ulb/30/16.txt

1 line
389 B
Plaintext

\v 16 \v 17 \v 18 16 Jioni Yakobo akaja kutoka uwandani. Lea akaenda kumlaki na kusema, "Leo usiku utalala nami, kwani nimekuajiri kwa tunguja za mwanangu." Hivyo Yakobo akalala na Lea usiku huo. 17 Mungu akamsikia Lea, na akashika mimba na kumzalia Yakobo mwana wa tano. 18 Lea akasema, "Mungu amenipa ujira wangu, kwa sababu nilimpa mme wangu mjakazi wangu." Akamwita jina lake Isakari.