sw_gen_text_ulb/19/26.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 26 \v 27 \v 28 26 Lakini mke wa Lutu aliye kuwa nyuma yake, akatazama nyuma, na akawa nguzo ya chumvi. 27 Abraham akaamuka asubuhi na mapema akaenda mahali alipokuwa amesimama mbele ya Yahwe. 28 Akatazama chini kuelekea Sodoma na Gomora na kuelekea katika nchi yote bondeni. Akaona na tazama, moshi ulikuwa ukienda juu kutoka chini kama moshi wa tanuru.