sw_gen_text_ulb/19/16.txt

1 line
390 B
Plaintext

\v 16 \v 17 16 Lakini akakawia-kawia. Kwa hiyo watu wale wakamshika mkono wake, na mkono wa mkewe, na mikono ya binti zake wawili, kwa sababu Yahwe alimhurumia. Wakawatoa nje, na kuwaweka nje ya mji. 17 Wakisha kuwatoa nje mmoja wa wale watu akasema, "jiponye nafsi yako! usitazame nyuma, au usikae mahali popote kwenye hili bonde. Toroka uende milimani ili kwamba usije ukatoweshwa mbali."