\v 9 9 Wakasema, "Ondoka hapa!" Wakasema pia, huyu alikuja kukaa hapa kama mgeni, na sasa amekuwa mwamuzi! Sasa tutakushugulilia vibaya wewe kuliko wao." Wakamsonga sana huyo mtu, huyo Lutu, na wakakaribia kuvunja mlango.