sw_gen_text_ulb/05/09.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 9 Wakati Enoshi alipokuwa ameishi miaka 90, akamzaa Kenani. \v 10 Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815. Akazaa wana wengi wa ume na wake. \v 11 Enoshi aliishi miaka 905 na kisha akafariki.