sw_gen_text_ulb/43/30.txt

1 line
237 B
Plaintext

\v 30 \v 31 30 Yusufu akaharakisha kutoka chumbani, kwani aliguswa sana kuhusu nduguye. Akatafuta mahali pa kulia. Akaingia chumbani mwake na kulia umo. 31 Akaosha uso wake na kutoka nje. Akajizuia mwenyewe, akasema, "karibuni chakula."