1 line
281 B
Plaintext
1 line
281 B
Plaintext
\c 47 \v 1 \v 2 1 Kisha Yusufu akaingia kwa Farao na kumwambia, "Baba yangu na ndugu zangu, kondoo wao, mbuzi wao, na yote waliyonayo, wamefika kutoka katika nchi ya Kanaani. Tazama, wapo katika nchi ya Gosheni." 2 Akawachukua watano katika ndugu zake na kuwatambulisha kwa Farao. |